Mechi ya kwanza dhidi ya Rulenge_fc Kasulu United imweza kushinda mabao mawi kwa
sifuli dhidi ambapo goli zote zimefungwa na #yotham
bada ya kupaya pasi safi kutoka kwa
kiongo mshambuliaji Mussa Sudd mnamo dakika ya 37 ya kipindi cha kwanza na
dakika 71 ya kipindi cha pili baada ya kumalizia mpira ulipingwa na Hsseni Sund
na kumshinda kipa wa Rurunge nguvu na kumpoyuka katika mikono yake .


Na siku ya Leo tarehe 21 mwezi wa September
Kasulu unitedi wanakipinga na Ngra Ster ya Mjini Ngara katika Dimba la Kokoto
kuanzia majila ya saa kumi kamili za alasili mjini Ngala mkoani KAGERA.
0 maoni:
Chapisha Maoni