NG’OMBE MYAMA AZAA KWA UPASUAJI.
Ngombe akiwa nakula baada ya kufanyiwa upasuaji. |
Myama huyu
alikaa siku mbili katika halakati za kutaka kuza bila mafaniki Bw. Pitter Bina
mkurugenzi wa mradi wa Ufugaji amesema kuwa baada ya kuwasilina na meneja wa
mradi huo ndipo alipofika katika mradi huo na
kuanza halakati za kumtafuta mtaalamu wa mifungu likuweza kunuru maisha
ya Ng’ombe huyo.
Bw. Binna alieleza
kuwa baada ya kupata ushauli wa wa wataram alichukuwa juhudi za kumtafuta
mganga ilikuweza kunusulu maisha ya myama huyo.
baada ya kufanyiwa upasuaji |
Meneja wa
mradi huo Bw. Juliasi amesema kuwa mpaka
sasa Ngo’mbe na mtoto huyo wanaendelea
vizuri wakiwa katika eneo hilo.
Ngo'mbe mama na mtoto baada ya kufanyiwa upasuaji |
0 maoni:
Chapisha Maoni