katika picha ni baadhi ya mashuhuda walio kuja kushuhudia ajili hiyo katika mtaa wa Jovena halimashauli ya manispaa ya singida .(Nyuma ni gali lililo gogwa na kuhalibika vibaya katika sehemu za mbele ya gari hilo)
Hili ndo gari lililopata ajili ambalo lilikuwa na watu wawili Dreva wa gali hilo pamoja na msaidizi wake.
katika ajali hiyo ilitokea baada ya dreva aliyekuwa anaendesha gari la kwanaza kufunga break gafra na hivyo kumsababisha dreva wapili kushindwa kuzuai gari lake kutokana na mwendo kasi aliyokuwa nao nahivyo kuligonga gari hilo kwa nyuma .
Taarifa kutoka katika hospitali ya mkoa wa singida kupitia kwa dr,mkuu wa mkoa dr, Erenest Mgeta amesema hali ya dreva huyo aliye jeruhiwa inaendelea vizuri.
0 maoni:
Chapisha Maoni