Kwa mujibu wa Mkurugezi wa mradi wa ufugaji wa Ng’ombe,
Nguruwe,kuku na Samaki uliopo Mandewa jirani na hospitali ya Rufaa katika
Manispa ya Singida Bw. Peter Binna amesema ng’ombe huyu pamamoja na ndama wake
wanaendelea vizuri mpaka sasa.
Bw. Binna ameeleza kuwa matibabu madogo madogo yanaendelea vizuri katika kidonda
kilichotokana na upasuaji wa ng’ombe huyo.
Ng’ombe
ambae alifanyia upasuaji na kutolewa ndama
kwa ubavu unao onekana nisehem ambayo daktari alipitisha kisu ilikumtoa
ndama huyo.
Peter Binna foundation |
Peter Binna Fuondation |
Badhi ya kuku katika mabanda yaliko katika m mradi huo.
Bw.Binna amesema katika secta ya ufugaji kunachangamoto mbali
mbali na kuiomba serikali kutowa misada kwa makundi mbali mbali yalijiingiza
katika secta ya ufugaji.
Mbali na hiyo Bw. Bina Anajikita na shughuli za kilimo cha
mboga mboga na ufugaji wa samaki katika eneo lake la (Ufugaji)
Peter Binna foundation |
Bw. Peter Binna ameendelea kusema kuwa mtaji wa kijana
niakili yake (Mungu hamtupe mtu mwenye dhamila ya Kweli) Hawezi Shindwa na
hawezi kataa tamaa.
Pia Bw.Binna amesema kuwa ikiwa asilimia themanini ya wakazi
katika taifa la Tanzania ni vijana chini ya umri wa miaka 35 kwahiyo vijana wakitumika vizuri taifa
litakuwa kwa kasi kiuchumi na kuwa katika mataifa makubwa dunia.
pichani ni sehemu ya kufugia samaiki
Peter Binna foundation
Picha inaonyesha baadhi ya mboga mboaga zilizopo katika eneo hilo.
Peter Binna foundation
Binna amewataka wafugaji kujali na kuzingatia ushauli wa wataalam wa mifungo kwani wao ndio mungozo mzuli katika swala zima la ufugaji.
Peter Binna foundation.
Maeneo toafauti ya matebezi ya wanyama katika mradi huo
Peter Binna foundation |
Bw. Juliasi ni Meneja wa mradi huo akipitia na kukagua vitu mbali katika mradi na n,n ahii ni hali halisi ya ufuga ji wa kuku aina zote katika
eneo hilo pembeni ya mabanda
Na miti nikuhakikisha anatunza baadi ya vyanzo vya chakula
kwaajili ya mifugo hiyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni