GEORGE GROVES ATWAA UBINGWA WA ULAYA
Bondia George Groves akimtupia konde Christopher Rebrasse katika pambano la ubingwa wa Ulaya uzito wa Super Middle, aliloshinda kwa pointi na kumvua taji hilo bingwa huyo mjini London janaGroves ambaye ni shabiki wa Chelsea, akisherehekea ushindi wake na wachezaji wa Arsenal, Lukas Podolski (kulia) na Mesut Ozil kushoto
0 maoni:
Chapisha Maoni