Jumapili, 21 Septemba 2014

AFANDE SELE ASEMA WASANII WANAPASWA KUWA KITU KIMOJA KATIKA AROBAINI YA MKEWE MAMA TUNDA.

AFANDE SELE ASEMA WASANII WANAPASWA KUWA KITU KIMOJA KATIKA AROBAINI YA MKEWE MAMA TUNDA.

 Afande sele akitoa Shukrani za dhati kwa wasanii waliohudhuria katika arobaini ya mke wake kipenzi mama tunda nyumbani kwa mama mkwe wake kulikofanyika hitima hiyo.
  Wasanii waliohudhuria katika hitima ya mke wa afande sele iliyofanyika leo mjini Morogoro, wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu waliohudhuria shughuli hiyo.
 Mtoto wa kwanza wa Msanii Afande sele akiwa katika picha ya pamoja na wasanii,ndugu na jamaa walioshiriki katika Arobaini ya mama yake kipenzi leo mkoani Morogoro.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: AFANDE SELE ASEMA WASANII WANAPASWA KUWA KITU KIMOJA KATIKA AROBAINI YA MKEWE MAMA TUNDA. Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top