Palestina kujiunga na mahakama ya ICC.
Maafisa waandamizi katika kundi la wapiganaji la Mahmoud Abbamas wanasema kuwa kundi hilo limetia sahihi ahadi ya kuunga mkono ombi lolote la Palestina la kujiunga na mahakama ya kimataifa ya ICC.Hatua hiyo inakamilisha makubaliano ya makundi yote ya Palestina ambayo rais Mahmoud Abbas amesema anahitaji kabla ya kuchukua hatua yoyote.
Waandishi wanajua kwamba bwana Abbas huenda akaikasirisha Marekani kwa kutokuwa mwanachama wa mahakama hiyo nayo Israel huenda ikakabiliwa na uchunguzi wa uhalifu wa kivita.
0 maoni:
Chapisha Maoni