Mahasimu wawili mkoani Singida wakutana tena katika fainali za lingi daraja la tatu mkoa singida kutafuta nani atachukuwa nafasi ya bingwa wa mkoa na kuwa muwakilishi katika mabingwa wa mikoa ilikupata nafasi ya kucheza ligi daraja la pili msimu ujao.
Mechi hiyo ambayo itachezwa tarehe 6 murch 2016 katika dimba la Namfua mkoani Singida kwa kuvishirikisha vilabu vya Sitendi Misuna Dhidi ya Singida Ranger zote za manisipaa ya Singida.
Tambo za viongozi wa vilabu hivyo zikionekana kuhofiana moja kwa moja baada ya vilabu hivyo kuwa na mashaka na wenzao katika mchezo ujao huku wote kuonyesha mashaka na viongozi wanao simamia mashindano hayo .
0 maoni:
Chapisha Maoni