Jumamosi, 18 Aprili 2015

VIJANA WAMESHAULI KUTUNZA KILE WANACHOKIPATA KWAJILI YA MAISHA YAO YA BADAE.

Mkurugenzi wa mradi wa ufugaji na ubunifu mkoani Singida nchini Tanzani Bw.Peter Bina amesema kuwa vijana wanapaswa kuwa na matumizi mazuri ya nguvu zao kwa kwajili ya manufa ya  badae ilikuweza kukabiliana na changamota mbali mbali zinazojitokeza kila siku kwani kumekuwa na kubadilikk kwa matumizi ya fedha katikasha kila kukicha kattika mataifa mbali mbali duniani.
 Kauli hiyo imesemwa na mkurugezi w BINA FOUNDATION  bw.Peter BINA wakati akizungumza na waandishi wa katika offisi zake.
Bw.Bina ameendelea kusema kuwa kulinngana Sera mbali mbali za mataifa ya Africa vijana hakuna budu kulinnda na kuwa na mamuzi sahihi ya maisha yetu kwa kujali kazi na kuwa ma matumizi mazuri ya fedha tunazo zipata katika shuguli mbali mbali tunazo zifanya.

Aidha Bw.Bina amesema kuwa kuwa na taaluma ya iliyoisomea shule inaweza kuwa no muongozo was maisha yako na silazima ufanye kazi ya taaluma iliyo isomea shule hivyo aliwataka vijana kujikita katika shughuli mbali mbali za maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: VIJANA WAMESHAULI KUTUNZA KILE WANACHOKIPATA KWAJILI YA MAISHA YAO YA BADAE. Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top