Witto umetolewa kwa wananchi was mkoa was singida kuwa makini na matumizi ya chakula na kuifadhi chakula ilikuweza kijiwekea akiba ya chakula kwani mazao kwa mwaka huh Kama mahindi yameathilika kwa kutokupa mvua ya kutosha.
Na haya ni baadhi ya mashamba yaliyo athilika katika manispa ya Singida katika kataa ya Mandewa mkoani singida.
Maji nikitu cha msingi katika maisha yetu hivyo hatuna bundi kulinda vyanzo maji
Jumanne, 14 Aprili 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni