Timu ya Simba Sc leo jioni imeweka historia mjini Shinyanga baada
ya kuwatembelea watoto wenye ulemavu wa ngozi(Albino),wasiosikia na wasioona
katika kituo cha Buhangija Jumuishi chenye watoto zaidi ya 370.Pichani ni
Msemaji
wa Simba SC, Hajji Manara baada
ya kushuka kwenye basi la Simba sc nje ya kituo cha kulelea watoto wenye
ulemavu cha Buhangija mjini Shinyanga-picha zote na Kadama Malunde-Shinyanga.
0 maoni:
Chapisha Maoni