Siku
zilizosalia za Diamond kuitwa ‘baba’ zinaendelea kuyoyoma. Zari The
Bosslady, mchumba wake staa huyo wa ‘Mdogo Mdogo’ anayetarajia kumpa
mtoto wake wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza
‘very pregnant’.
Mrembo
huyo wa Uganda ameshare picha kwenye ukurasa wake wa Facebook
inayomuonesha jinsi kitumbo chake kinavyozidi kuwa kikubwa. Jionee picha
zake zaidi hapo chini.
Jumapili, 8 Februari 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni