docter aliyemfanyia ngo‘mbe upasuaji akiendelea kutowa tiba kwa ngo‘‘mbe aliyezaa kwa upasuaji na sasa anandelea kupewa tiba na mganga alimfanyia upasuaji wakati akiwa anazaa baada ya kukaa siku nne akisumbuka ilokuwaza kuza yabila mafaniki 
Mkurugenzi wa Mradi wa ufugaji kutoka mkoani Singida Nchini TANZANIA Bw.Piter Bina ameambia Bandola.Blogsport.com kuwa myama huyo anaendelea vizuri na ndama wake katika mrandi huo akiwa na ndama wake .
Aidha Bw. Bina amesema kuwa anaendelea vizuri kwa kufata maelekezo anayopewa na wataalam kwa kuzingatia muda na mashalti anayopewa na wataalam.
0 maoni:
Chapisha Maoni