Shirikisho la soka barani Afrika CAF
limeiadhibu nchi ya Guinea ya Ikweta baada ya mashabiki wake kufanya
vurugu katika mchezo wa nusu fainali.
Guinea ya Ikweta inatakiwa
kulipa faini ya pauni 65,000 (US$100,000) kwa vurugu zilizofanywa na
Mashabiki wake na kusababisha mchezo wa nusu fainali kati yao na Ghana
kusimama kwa muda.Pia watatakiwa kuwahudumia mashabiki 36 waliopata majeruha katika vurugu hizo
0 maoni:
Chapisha Maoni