JUMAPILI: YANGA v MTIBWA SUGAR, TAIFA!
RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Februari 7
Polisi Moro 2 Azam FC 2
Coastal Union 0 Simba 0
Prisons 1 Ruvu Shootings 1
JKT Ruvu 1 Mbeya City 1
Ndanda FC v Stand United
Kagera Sugar v Mgambo JKT
+++++++++++++++++++
Mabingwa Watetezi, Azam FC, Leo huko Morogoro waliambua Sare ya 2-2 na Polisi na kurejea kwenye uongozi wa Ligi Kuu Vodacom wakiwa Pointi sawa na Yanga lakini wao wana ubora wa Magoli.
Bao za Azam FC kwenye Mechi hiyo zilifungwa na Kipre Tchetche, Dakika ya 11, na Kipre Bolou, Dakika ya 68, na zile za Polisi kufungwa na Edward Christopher Dakika ya 29 na Suleiman Kassm Dakika ya 81.
Huko Mkwakwani, Tanga, Ndugu wawili Coastal Union na Simba walitoka 0-0 wakati Timu za Mbeya, Mbeya City na Prisons, zilitoka Sare za 1-1 kwa Mbeya City kutoka suluhu Ugenini na JKT Ruvu na Prosons kutoka Droo na Ruvu Shooting huko Sokoine Mjini Mbeya.
Ligi itaendelea tena Jumapili kwa Mechi pekee wakati Yanga itaingia dimbani kuivaa Mtobwa Sugar Jijini Dar es Salaam.
RATIBA:
Jumapili Februari 8
Yanga v Mtibwa Sugar
MSIMAMO:
**Bila Matokeo ya Mechi za Leo Ndanda FC v Stand United na Kagera Sugar v Mgambo JKT
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
|
1
|
Azam FC
|
12
|
6
|
4
|
2
|
17
|
10
|
7
|
22
|
|
2
|
Yanga
|
12
|
6
|
4
|
2
|
13
|
7
|
6
|
22
|
|
3
|
Polisi Moro
|
14
|
4
|
7
|
3
|
12
|
11
|
1
|
19
|
|
4
|
JKT Ruvu
|
14
|
5
|
4
|
5
|
14
|
14
|
0
|
19
|
|
5
|
Ruvu Shooting
|
14
|
5
|
4
|
5
|
10
|
11
|
-1
|
19
|
|
6
|
Mtibwa Sugar
|
11
|
4
|
6 |
1
|
13
|
7
|
6
|
18
|
|
7
|
Coastal Union
|
14
|
4
|
6
|
4
|
10
|
9
|
1
|
18
|
|
8
|
Simba
|
13
|
3
|
8
|
2
|
13
|
11
|
2
|
17
|
|
9
|
Mbeya City
|
13
|
4
|
4
|
5
|
9
|
11
|
-2
|
16
|
|
10
|
Kagera Sugar
|
13
|
3
|
6
|
4
|
10
|
11
|
-1
|
15
|
|
11
|
Mgambo JKT
|
11
|
4
|
2
|
5
|
6
|
10
|
-4
|
14
|
|
12
|
Ndanda FC
|
13
|
4
|
2
|
7
|
12
|
17
|
-5
|
14
|
|
13
|
Tanzania Prisons
|
13
|
1
|
8
|
4
|
10
|
12
|
-2
|
11
|
|
14
|
Stand United
|
13
|
2
|
5
|
6
|
8
|
16
|
-8
|
11
|
MATOKEO- Mechi zilizopita:
Jumatano Februari 4
Coastal Union 0 Yanga 1
Jumapili Februari 1
Yanga 0 Ndanda FC 0
Ruvu Shooting 2 Stand United 1
Jumamosi Januari 31
Simba 2 JKT Ruvu 1
Coastal Union 0 Mtibwa Sugar 0
Tanzania Prisons 1 Kagera Sugar 1
Polisi Morogoro 1 Mbeya City 0
Jumatano Januari 28
Simba 1 Mbeya City 2
Jumapili Januari 25
Azam FC 1 Simba 1
Stand United 0 Coastal Union 1
Mbeya City 2 Tanzania Prisons 2
Ruvu Shooting 2 Mtibwa Sugar 1
JKT Ruvu 1 Mgambo JKT 1
Kagera Sugar 1 Ndanda FC 2
Jumamosi Januari 24
Polisi Morogoro 0 Yanga 1
Jumanne Januari 20
Kagera Sugar 1 Azam FC 3
Jumapili Januari 18
JKT Ruvu 1 Mtibwa Sugar 1
Coastal Union 0 Polisi Morogoro 0
Jumamosi Januari 17
Ndanda FC 0 Simba 2
Yanga 0 Ruvu Shooting 0
Stand United 0 Azam FC 1
Kagera Sugar 0 Mbeya City 1
Mgambo JKT 0 Prison 0
Jumapili Januari 11
Mgambo JKT 1 Ruvu Shooting 0
Jumapili Januari 10
JKT Ruvu 2 Stand United 1
Ndanda FC 1 Polisi Moro 1
Jumapili Januari 4
Prisons 0 Ndanda 1
Jumamosi Januari 3
Coastal Union 0 JKT Ruvu 1
Rivu Shooting 0 Kagera Sugar 0
Polisi Moro 0 Stand United 0
Jumapili Desemba 28
Yanga 2 Azam FC 2
Mbeya City 1 Ndanda FC 0
Polisi Moro 2 Mgambo JKT 0
Jumamosi Desemba 27
Mtibwa Sugar 1 Stand United 1
Prisons 0 Coastal Union 0
JKT Ruvu 0 Ruvu Shootings 1
Ijumaa Desemba 26
Simba 0 Kagera Sugar 1
Jumapili Novemba 9
Simba 1 Ruvu Shootings 0
JKT Ruvu 2 Ndanda FC 0
Jumamosi Novemba 8
Stand United 1 Mbeya City 0
Yanga 2 Mgambo JKT 0
Mtibwa Sugar 1 Kagera Sugar 1
Azam FC 2 Coastal Union 1
Polisi Moro 1 Prisons 0
Jumapili Novemba 2
Mgambo JKT 2 Mbeya City 1
Jumamosi Novemba 1
Kagera Sugar 0 Yanga 1
Coastal Union 1 Ruvu Shooting 0
Ndanda FC 1 Azam FC 0
Mtibwa Sugar 1 Simba 1
JKT Ruvu 1 Polisi Moro 2
Stand United 1 Prisons 1
Jumapili Oktoba 26Mbeya City 0 Mtibwa Sugar 2
Jumamosi Oktoba 25
Stand United 0 Yanga 3
Azam FC 0 JKT Ruvu 1
Prisons 1 Simba 1
Kagera Sugar 1 Coastal Union 1
Ruvu Shooting 1 Polisi Moro 0
Ndanda FC 0 Mgambo JKT
Jumapili Oktoba 19
Prisons 1 JKT Ruvu 2
Jumamosi Oktoba 18
Polisi Moro 0 Mtibwa Sugar 0
Ndanda FC 1 Ruvu Shooting 3
Kagera Sugar 0 Stand United 0
Coastal Union 2 Mgambo JKT 0
Mbeya City 0 Azam FC 1
Yanga 0 Simba 0
Jumapili Oktoba 5
Yanga 2 JKT Ruvu 1
Mtibwa Sugar 1 Mgambo JKT 0
Jumamosi Oktoba 4
Polisi Moro 1 Kagera Sugar 1
Coastal Union 2 Ndanda FC 1
Simba 1 Stand United 1
Prisons 0 Azam FC 0
Ruvu Shootings 0 Mbeya City 0
Septemba 28
JKT Ruvu 0 Kagera Sugar 2
Yanga 2 Prisons 1
Septemba 27
Simba 1 Polisi Moro 1
Azam FC 2 Ruvu Shooting 0
Mbeya City 1 Coastal Union 0
Mgambo JKT 0 Stand United 1
Mtibwa Sugar 3 Ndanda FC 1
Septemba 21
Simba 2 Coastal Union 2
Septemba 20
Azam FC 3 Polisi Moro 1
Mtibwa Sugar 2 Yanga 0
Stand United 1 Ndanda FC 4
Mgambo JKT 1 Kagera Sugar 0
Ruvu Shooting 0 Tanzania Prisons 2
Mbeya City 0 JKT Ruvu 0
++++++++++++++++++++++++++++++
VIPORO
Februari 11
Azam na Mtibwa Sugar (Dar es Salaam)
Mgambo Shooting na Simba (Tanga).
Yanga na Ndanda (Dar es Salaam)
Februari 21
Mbeya City na Yanga (Mbeya)
Februari 25
Mtibwa Sugar na Tanzania Prisons (Morogoro)
Februari 28
Simba na Mtibwa Sugar (Dar es Salaam)
Machi 4
Ruvu Shooting na Azam (Pwani)
JKT Ruvu na Yanga (Dar es Salaam).
Mtibwa Sugar na Polisi Morogoro (Morogoro)
Machi 8
Simba na Yanga (Dar es Salaam)
Machi 11
Azam na Mbeya City (Dar es Salaam)
Yanga na Kagera Sugar (Dar es Salaam)
Machi 18
Azam na Ndanda (Dar es Salaam)
Yanga na Stand United (Dar es Salaam)
Aprili 8
Simba na Tanzania Prisons (Dar es Salaam).
0 maoni:
Chapisha Maoni