MBEYA CITY FC YAWASHA MOTO KIRUMBA, YAICHAPA 1-0 KAGERA SUGAR
WAGONGA
nyundo wa Mbeya, Mbeya City fc wameanza kurejesha makali yao baada ya
kuitandika bao 1-0 Kagera Sugar katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania
bara iliyomalizika jioni hii uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Bao hilo pekee limefungwa dakika ya 80 na Peter Mapunda.
Kikosi hicho cha Juma Mwambusi kilishangiliwa na zaidi ya mashabiki 200 waliosafiri kutoka Mbeya kuipa sapoti timu hiyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni