ANGALIA PICHA KIBAKA ANAYEDAIWA KUIBA BODABODA ADAKWA
Kibaka huyo akiomba msamaha baa
da ya kupokea kichapo kutoka kwa kundi la wananchi waliofulika kwenye ukumbi huo.
Kijana mmoja
anayesadikiwa kuwa kibaka amepokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye
hasira baada ya kibaka huyo kukamatwa nakijaribu kuiba boda boda .
Mabausa wa ukumbi huo wakimtoa nje kibaka akiwa na Pingu mkononi
0 maoni:
Chapisha Maoni