KUNA
TUKIO LA MLIPUKO WA KITU KINACHODHAWINA NI BOMU NDANI YA GARI NA
KUSABABISHA KIFO/MAJERUHI. Tarehe 01/11/2014 muda wa saa 07:45hrs katika
center ya Muhunze tarafa ya Kishapu na Wilaya ya Kishapu.
Gari no
T. 848 AKA MITSHUBISH FUSSO likiendeshwa na Khalifa s/o Mussa 39,
muhangaza wa Ngara ambalo lilitoka tarehe 31/10/14 saa 04:00 hrs mjini
Ngara kuja Mkoa wa Shinyanga wilaya ya Kishapu kupakia shehena ya mtama
kwa mfanyabiashara alitwaye Donard s/o Nzugula (49) msukuma wa Muhunze.
Jumapili, 2 Novemba 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni