VAN GAAL MAJI SHINGONI...SASA KUMCHEZESHA MICHAEL CARRICK NAFASI YA BEKI WA KATI!
Michael Carrick (katikati akiwa na Chris Smalling na Ryan Giggs) anaweza kucheza nafasi ya beki wa kati Manchester United
MAJANGA ya safu ya ulinzi ya Manchester United yamemfanya kocha Louis
van Gaal afikirie kumtumia kwa dharula Michael Carrick katika nafasi ya
beki wa kati.
Carrick ambaye ni kiungo wa kati bado anasubiri kuanza mechi yake ya
kwanza chini ya kocha mpya na anaimarika pole pole kutoka kwenye
majeruhi ya kifundo cha mguu aliyopata majira ya kiangazi.
Lakini kiungo huyo mwenye miaka 33 ameanza mazoezi uwanja wa
Carrington na tayari amefanya mazungumzo na Van Gaal kuhusu uwezekano wa
kucheza nafasi ya beki wa kati.
SHARE PICTURE
katika kipigo cha 5-3 dhidi ya Leicester jumapili iliyopita
0 maoni:
Chapisha Maoni