Jumapili, 21 Septemba 2014

KWELI POMBE SI CHAI TAZAMA PICHA YA MREMBO AKIWA HAJITAMBUI YUPO WAPI WAPI BAADA YA KUTUMIA FURSA YA OFA VIZURI

dada huyu baada ya kubugia mitungi alishindwa kutembea kuelekea home, na kuamua kulala kiroho safi barabarani, hii ni aibu sana kwa kina dada, kunywa kidogo bhana kwani na kesho si ni siku, sio unapiga mitungi kama hakuna kesho.

Baadhi wakina dada wa tanzania wamekuwa wakidhamni kuwa kujulikana kwa wanaume lazima atumike kitu ambacho sihali na hakina ukweli katika maisha ya wakina dada .

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top