Jumapili, 21 Septemba 2014

Standard Radio ikitimiza miaka miwili na ikimuaga moja kati ya Waandaaji na Mtangazaji Neema Sospita

Neema Sospita alikuwa ni mtangazaji  na muandaaji wa Vipindi Standard Radio kwa mujibu wa Program Meneja Bw. Immani Msingwa ameeleza kuwa Neema Sospita aneelekea katika maisha mapya ya ndoa hivyo hatuta kuwa nae katika kituo hiki mpka hapo atakapo anza kazi katika kituo kingine cha standa radio cha Der-Es . Salaam.

Neema  amesema kuwa umoja na mshikamono alikuwa anaupata akiwa Standard Radio Singida nimkubwa na angependa kuupata akiwa katika sehemu nyingine katika shughuli za kazi.

Aidha amemshukuru Mkurugezi wa Standard Radio Bw. Jemsi Daudi kwa kumpa fulsa ya kuendelea na kazi katika mradi huo wa Radio Standard kuendelea kuwa Mfanya kazi wa Redio Standard kuendelea kuwa riporta wa Standard Radio akiwa Der-es-Salam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Standard Radio ikitimiza miaka miwili na ikimuaga moja kati ya Waandaaji na Mtangazaji Neema Sospita Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown