Rea Madrid waichapa Deportivo La Coruna 8
Baada ya
kupoteza mechi mbili mfululizo dhidi ya Real Sociedad na mahasimu wao
Atletico Madrid, leo hii kikosi cha Real Madrid kilijitupa uwanjani
kucheza dhidi ya Deportivo La Coruna.Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba
la Riazor Stadium – dunia imeshuhudia Real Madrid wakiiadhibu Deportivo
kwa kipigo cha magoli 8-0.Mwanasoka bora wa dunia na ulaya Cristiano
Ronaldo alifunga mara 3, Gareth Bale alifunga mara 2, wakati James
Rodriguez akifunga goli moja na mshambuliaji aliyeazimwa kutoka Man
United Javier Hernandez Chicharito akitokea benchi alifunga magoli
mawili na kukamilisha ushindi wa kihistoria wa 8-0.
Timu zilipangwa kama ifuatavyo:
REAL MADRID:
Casillas; 6 Arbeloa, 6 Ramos, 6 Varane, 6 Marcelo; 7 Modric 6
(IIaramendi), Kroos, 6 Bale 8 (Hernandez), James, 7 Ronaldo; 8 Benzema 7
(Isco)
Subs not used: Coentrão, Navas, Carvajal, Nacho
Booked: Ramos
Scorers: Ronaldo 29′, 41′, 78′, Rodriguez 36′, Bale 66′, 74′, Hernandez 88′, 90′
DEPORTIVO: Lux; 4 Laure, 5 Diakité, 5 Sidnei, 5 Luisinho; 5
Bergantiños, 5 Medunjanin; 6 Juanfran 5 (Juan Dominguez), Fariña 7
(Toche), Cuenca; 7 Postiga 5 (Cavaleiro)
0 maoni:
Chapisha Maoni