Jumanne, 19 Agosti 2014

LENGO: Shule zote zianzishe mfumowa uzuiaji, utoaji taarifa kwa siri na
uchukuaji hatua dhidi ya ukatili na unyanyasaji. Adhabu ya viboko ifutwe.
Kuamsha hamasa ya shule salama, Ajenda ya Watoto inahimiza uchukuaji wa
hatua katika vipaumbele vifuatavyo

Ajend
A
y
A
W
A
toto | Muht
A
s
A
ri
WA
u
tetezi
Shule S
A
l
A
m
A
Ajend
A
y
A
W
A
toto y
A
uSA
l
A
m
A
WA
Shule
LENGO: Shule zote zianzishe mfumowa uzuiaji, utoaji taarifa kwa siri na
uchukuaji hatua dhidi ya ukatili na unyanyasaji. Adhabu ya viboko ifutwe.
Kuamsha hamasa ya shule salama, Ajenda ya Watoto inahimiza uchukuaji wa
hatua katika vipaumbele vifuatavyo:
1.
Mafunzo ya Ualimu:
Mafunzo ya vyuoni na ya kazini yaliyoboreshwa na
kupanuliwa kuhusu mbinu ya ufundishaji na ujinfuzaji kwa kumtanguliza mtoto
na nidhamu bila bila ukatili.
2.
Komesha adhabu ya viboko:
Matumizi ya adhabu ya viboko shuleni
yanaashiria kwamba jamii inaridhia ukatili wa kipigo kwa watoto. Mara kwa
mara waalimu huchapa viboko vingi kuliko vile vilivyokubalika kisheria. Watoto
wenyewe watajenga tabia ya kuchukia ukatili endapo waalimu na wazazi wao
wataonyesha na kufundisha tabia ya kutopenda ukatili.
3.
Kutoa taarifa za ukatili kwa usalama:
Shule zianzishe mfumo wa kuwezesha
watoto kutoa taarifa za ukatili na unyanyasaji bila woga au vitisho. Ushughulikiaji
haraka wa masuala ya ukatili na unyanyasaji ni jambo muhimu kwa usalama wa
shule na uponaji kwa waliotendewa ukatili.
4.
Elimu ya stadi za maisha:
Watoto hawana budi kuelewa haki zao za kulindwa
dhidi ya ukatili, kuwezeshwa kuzungumza kuhusu ukatili na kuelewa pamoja na
kushiriki katika kutatua matatizo bila ugomvi.
5.
Ushirikiano:
Shule, wazazi na wenye daladala /mabasi washirikiane kuhakikisha
usalama wa wanafunzi wanaposafiri kwenda na kutoka shuleni. Wanafunzi pia
wanaweza kujisaidia na wenyewe kwa wenyewe katika kuhakikisha kwamba
wanasafiri salama kwenda na kutoka shuleni. Shule zenye mabaraza ya
wanafunzi yanayofanya kazi huwa zina migogoro michache na vitendo vichache

vya ukatili pamoja na uhusiano mzuri baina ya wanafunzi na
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top