MANCHESTER UNITED YAVUNJA REKODI YA MAPATO - YAINGIZA £98.5m NDANI YA MIEZI MITATU TU

Manchester
United imevunja rekodi ya makusanyo ya mapato baada ya kuingiza kiasi cha
£98.5m katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka wa fedha.
Ukuaji wa
asilimia 29% wa mapato unakuja baada ya ukuaji wa 63% pato linalotokana
na udhamini na pia kutoka kwenye dili za kuuza haki za matangazo ya TV.
0 maoni:
Chapisha Maoni