Jumatano, 30 Oktoba 2013

YANGA, MBEYA CITY ZAZISHUSHA SIMBA CHINI NAFASI YA 4!





MATOKEO:

Jumanne Oktoba 29
Tanzania Prisons 0 Mbeya City 2
Yanga 3 Mgambo Shooting 0
Rhino Rangers 1 JKT Ruvu 0


USHINDI kwa Mabingwa Watetezi Yanga na Mbeya City katika Mechi zao za leo umeishusha Simba hadi Nafasi ya 4 huku Mbeya City wakikamata Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 23 sawa na Vinara Azam FC na Yanga wakishika Nafasi ya Tatu wakiwa na Pointi 22 na Simba kuwa Nafasi ya 4 wakiwa na Pointi 20.

Timu zote hizo zimecheza Mechi 11 kila mmoja.
Huko Mjini Mbeya, ambako Timu za Mji huo zilipambana, Mbeya City iliichapa Tanzania Prisons Bao 2-0.

Jijini Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Taifa, Mabingwa Yanga waliibamiza Mgambo Shooting Bao 3-0.

Hadi Mapumziko, Yanga walikuwa mbele kwa Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 31 la Mbuyu Twite.
Kipindi cha Pili, katika Dakika ya 50, Hamis Kiiza alifunga Bao la pili kwa Penati kufuatia Kipa wa Mgambo kumchezea faulo Didier Kavumbagu.

Bao la Tatu lilifungwa Dakika ya 67 na Didier Kavumbagu.

VIKOSI:

YANGA: Deogratius Munishi 'Dida', Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Rajab Zahir, Kelvin Yondani, Athuman Idd 'Chuji', Saimon Msuva, Frank Domayo 'Chumvi', Didier Kavumbagu, Mrisho Ngassa, Hamis Kiiza
Akiba: Ally Mustapha 'Barthez', Ibrahim Job, Nadir Haroub 'Cannavaro', Hamis Thabit, Reliants Lusajo, Hussein Javu, Jerson Tegete

MGAMBO SHOOTING: Tony Kavishe, Daud Salum, Bashiri Chanache, George Akitanda, Bakari Mtama, Novat Lufunga, Malimi Busungu, Peter Mwalyanzi, Fully Maganga, Omar Yassin, Mohamed Nampoka

RATIBA:

Alhamisi Oktoba 31
Simba vs Kagera Sugar

Ijumaa Novemba 1
JKT Ruvu vs Yanga

Jumamosi Novemba 2
Mgambo Shooting vs Coastal Union
Tanzania Prisons vs Oljoro JKT
Azam vs Ruvu Shooting
Mtibwa Sugar vs Rhino Rangers

Jumapili Novemba 3
Mbeya City vs Ashanti United

Jumatano Novemba 6


JKT Ruvu vs Coastal Union
Ashanti United vs Simba
Kagera Sugar vs Mgambo Shooting
Rhino Rangers vs Tanzania Prisons
Ruvu Shooting vs Mtibwa Sugar

Alhamisi Novemba 7
Azam vs Mbeya City
Yanga v JKT Oljoro

MSIMAMO:

NA
TIMU
P
W
D
L
GD
GF
PTS
1
Azam FC
11
5
5
0
10
17
23
2
Mbeya City
11
6
5
0
8
15
23
3
Yanga SC
11
6
4
1
13
24
22
4
Simba SC
11
5
5
1
11
21
20
5
Mtibwa Sugar
11
4
4
3
1
16
16
6
Ruvu Shooting
11
4
4
3
3
13
16
7
Kagera Sugar
11
4
4
3
3
12
16
8
Coastal Union
11
3
6
2
4
10
15
9
JKT Ruvu
11
4
0
7
-1
9
12
10
Rhino Rangers
11
2
4
5
-6
9
10
11
Ashanti UTD
11
2
4
5
-9
10
10
12
Prisons FC
11
1
5
5
-9
6
8
13
JKT Oljoro
11
1
4
6
-8
8
7
14
Mgambo Shooting
11
1
2
8
-18
3
5

MATOKEO:

Jumatatu Oktoba 28
Simba 1 Azam FC 2
Coastal Union 3 Mtibwa Sugar 0
Oljoro JKT 0 Ashanti United 0
Ruvu Shooting 1 Kagera Sugar 1

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top