MWIGIZAJI ASHELY TOTO KUTOKA KENYA INASEMEKANA NDIO
SABABU MOJA WAPO YA NDOA YA BOB JUNIOR KUVUNJIKA

Ashely Toto in German

Ashley
Toto Ni Msanii wa movies kutoka Kenya ambae makazi yake ni Ujerumani ila kwa
sasa yupo Mombasi kwa mapumziko ..Mnyetishaji wa habari ametuhabarisha kuwa
wawili hawa wapo mapenzini kwa muda mrefu sana hata alipokuwa Ujerumani Bob
Junior huwa anaenda huko kama baadhi ya picha zinavyoosha ..Pia inasemekana
kuwa baada ya Mwana Dada huyu kuja Mombasa kwa mapumziko Bob Junior alienda
Matembezi huko na Kukaa kwa muda wa week moja akiwa nae na baadae Mwana dada
huyo Mrembo alimtafutia Show mbili Huko Mombasa ...Inasemekana ndio Sababu
mojawapo ya mke wake kuona wivu wa mapenzi na kuamua kuachana na Bob junior..



0 maoni:
Chapisha Maoni