Mamia wafariki wakiwa wamezuiliwa Nigeria
Mamia ya watu wamefariki katika vituo vya kuwazuilia washukiwa wa
uhalifu Kaskazini Mashariki mwa Nigeria huku jeshi likijaribu kupambana
vikali na kundi la wapiganaji wa kiisilamu Boko Haram katika eneo
hilo.Shirika la kimataifa la Amnesty International linasema kuwa vifo
vya baadhi ya vimetokana na msongamano kwenye magereza na wengine
kutokana na kukosa chakula na mauaji ya kiholela.
0 maoni:
Chapisha Maoni