1.Take Care
2.Tunaeleweka
Ngoma ya Xonjo inaitwa
Beutefull Garl
Ngoma ya Tenz inaitwa
Tayari ama Bado

Aidha Bw Mundele
ameeleza kuwa baadhi ya wazazi wanaamini kuwa music nikazi za kihuni
kituambacho sikweli na kudhani kwamba wanamusic hawana maadili mazuli katika
jamii .
Meneja wa kundi hilo
Bw. Mundele amesema kuwa usimjaji mtu kwa muonekano bali tambuwa kuwa wasani ni
kio cha jamii na Ndio nguzu katika jamii ya leo kwani vijana ambao ni nguvu
kazi ya taifa wanapenda kusikiliza music.
Bw, Mundele amemaliza
kwa kusema kuwa umoja unanatakiwa katika wasanii ilikufanya mabadiliko na
kuleta maendeleo katia tasinia ya misic wa kizazi kipya.

Meneja amethibisha kuwa kundi hilo linanidhamu ya hali ya juu kitendo kinacho mpa matumaini ya kufanya vema na kutimiza malengo walijiwekea katia swala zima la music katika maisha na jamii kwa ujumla.
Sharifu ambaye pia ni mmoja ya wadongo wanofuliwa na kundi hilo na kuandaliwa kuwa mmoja ya watu watakao fanya mabmbo mazuri katika jami kama kuwa kocha mzuri now ni kocha wa tumu ya wanawake mkoa wa Singida.
Moja ya picha wakiwa mazoezi M.F.B
Cheki nembo mojawapo ya MFB ukweri mtupu akisema meneja wa kundi hilo Bw. Mundele
0 maoni:
Chapisha Maoni