Mchezaji mkongwe wa timu ya kasulu united JUMA SUDDY akiwa na kinda wa timu hiyo AGUSTINO MUHINI wakipewa pongezi na mashabiki wa soka wa Kabanga baada ya kumaliza mechi yao ya kilafiki na timu ya Kabanga iliyokubali kichapo cha mabao katika mchezo huo.
Na hichi nikikosi cha wachezaji na viongozi wa timu hiyo
yenye uchu na kucheza ligi kuu Tanzania Bara baada ya Timu Nyingi ambazo
zimepitia mgongoni kwake Kama Kagera Sukali Na Coast Union Tanga
Kuendelea kufanya vizuri Ligi ku Tanzania Bara .
Kocha wa Timu hiyo Bw. Bonifasi Mpagape ameelza kuqwa kwa sasa timu ikovizuri na anjifunia kuwa na wachezaji wengi katiaka timu mbali mbnali hapa nchini Kuanzia LIGI kuu Tanzania Bara NA ligi DARAJA LA KWANZA
0 maoni:
Chapisha Maoni