AMLIMA, MGUNDA NA JULIO ENZI ZA UJANA WAO
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kutoka kulia Idelphonce Amlima, Juma Mgunda na beki Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wakiwa kwenye kambi ya timu hiyo Jeshi la Wokovu, Kurasini, Dar es Salaam mwaka 1995
0 maoni:
Chapisha Maoni