Jumatatu, 28 Machi 2016

SIMBA SC KAMBINI UFARANSA CAF 1993

Wachezaji wa Simba, Abdul Mashine (kusoto) na Twaha Hamidu (kulia) wakifanya mazoezi mjini Nice, Ufaransa mwaka 1993 kabla ya mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la CAF dhidi ya USM El Harrach ya Algeria. Simba iliitoa timu hiyo na kwenda kuitoa pia Atletico Sport Aviacao ya Angola katika Nusu Fainali kisha kutinga Fainali, ambako walifungwa na Stella Abdijan
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: SIMBA SC KAMBINI UFARANSA CAF 1993 Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top