Na hili nieneo ambalo ona katika picha hapo ni sehemu ya kuka wachezaji wa akiba na viongozi katika kiwanja cha namfua mkoani singida kiwanja ambacho kinatumika katika mashindano ya ligi daraja la pili na mashindano ya kombe la shilikisho na kwa wakati huu kuna mashindano ya ligi daraja la tatu yanandelea katika kiwanja hiki.
Baada ya kuongea na baadhi ya wadau wa mpira mkoani Singida ameeleza kuwa baadhi ya viongozi wa chama tawala ndio waliekuwa kigezo cha kutokushughulikia kwa kwa uwanja huo wa wa mkoani Singida kwani kulikuwa na watu wamesha kubali kujitolea ilikuweza kuufanyia marekebisho.
|
na hii ndio hali halisi ya kiwanja hicho kwa sasa. |
|
nahapa nikaribu na mlango mkubwa wa kuingilia katika kiwanja hicho |
|
pembezoni mwa eneo la kuchechea |
|
nafua kwa sasa nahiyo ndio hali halisi |
|
moja kati ya mashimo yanayo patika katika kiwanja hicho kwa sasa |
0 maoni:
Chapisha Maoni