Kiungo wa Azam FC, Kevin Friday akimuacha chini beki wa Friends Rangers katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 4-2, mabao yake yakifungwa na Farid Mussa, Friday, Didier Kavumbangu na Joseph Kimwaga.
Kiungo wa Azam FC, Kevin Friday akimuacha chini beki wa Friends Rangers katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 4-2, mabao yake yakifungwa na Farid Mussa, Friday, Didier Kavumbangu na Joseph Kimwaga.Beki wa Rangers, Stefano Mwasyika akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy'
Farid Mussa wa Azam FC akimtoka Yussuf Mgwao wa Rangers
Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Azam FC akifumua shuti katikati ya wachezaji wa Rangers
Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akitafuta maarifa ya kumpokonya mpira beki wa Rangers
Benchi la Azam FC kipindi cha kwanza
Kocha wa Rangers, Heri Mzozo akitoa maelekezo kwa wachezaji wake
0 maoni:
Chapisha Maoni