Wakati ligi dalaja la pili ikisusua kuanza mzunguko wa pili baadhi ya timu shiliki za dalaja la pili zinzendelea kujipnga kwa kufanya maandalizi ya mashindano hayo ya ligi dalaja la pili ambayo yanaendelea kupoteza mvuto wa mashindano hayo kwa wadshiliki na wadhimini wa timu hizo.
SINGIDA united wachezaji na viongozi WA time hiyo wakitafakali baada ya kupata taarifa ya kuzogezwa mbele kwa kwa mashindano ya ligi dalaja LA pili baada ya kuwepo kwa muda mrefu kambini Singida united way wakilishi WA mkoa WA singida katika mashindano ya lingo daraja pili wanatarjiwa kuanza mzunguko WA pili wakiwa nyumbana kwa kucheza na mirambo ya ktoka mkoani tabora.
0 maoni:
Chapisha Maoni