Katibu wa Singida united Bw.Abrahamani Sima kushoto akiwa na meneja wa timu hiyo wakitafakali na kujadili jinsi gani watakavyo weza kusafili kuelekea mkoani Rukwa kwa kuanza mechi yao ya kwanza ya raundi ya pili inayotarajiwa kuchezwa taerehe 7fabruary2015 katika dimba LA Rukwa.
Wachezaji na mwalimu wao Be.Jastini akiendelea kutoa maelekezo kwa wachezaji wakiwa katika dimba LA Namfua mkoani SINGIDA wakiendelea kujweka vema kwa kuanza raundi ya pili katika lingo daraja LA pili.
Kocha wa time ya SINGIDA united Bw.Jastini ameeleza kuwa wachezaji na dawati LA ufundi WA time hiyo wako vizuri mpaka Sara kwa kuanza safali ya kuelekea mkoani Rukwa ilikuweza kuendeleza wimbi LA ushindi katika lingo hiyo.
Jumanne, 3 Februari 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni