MAJAGOO WA JIJI LIVERPOOL WAKALIA KITI CHA MOTO UEFA.
UEFA inajiandaa kuichunguza Liverpool kwa kudaiwa kuvunja sheria ya FFP
LIVERPOOL wanachunguzwa na UEFA kwa kudaiwa kuvunja sheria ya matumizi ya fedha.
Liverpool, Monaco, Inter Milan na Roma — ambao hawakuwepo katika
michuano ya Ulaya msimu uliopita wametuma akaunti zao UEFA na sasa
wanasubiri kuulizwa juu ya taarifa nyingine za kifedha.Hakuna vikwazo
watakavyowekewa kwa hatua hii, ingawa kifungo cha kutopata fedha za ligi
ya mabingwa kinaweza kufuata.
0 maoni:
Chapisha Maoni