MSAFARA WA MWISHO WA REAL MADRID ULIVYOTUA DAR, KESHO TAIFA PATAPENDEZA
Msafara wa mwisho wa Real Madrid baada ya kuwasili Dar es Salaam jioni ya leo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya magwiji wa Tanzania Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kesho Taifa patapendezaWanaelekea kwenye basi la Azam FC kwa safari ya hotelini
Watu walijitokeza kuwapokea walikuwa niwengi sana katika kiwanja cha ndende na kuonyesha mshikamano mkubwa katika swala hili kitu ambacho mkuu wa safala huo kutoka katika klabu ya Real Madrid alifurahishwa na kitendo hicho.
0 maoni:
Chapisha Maoni