Alhamisi, 10 Julai 2014

VIDEO MBILI ALIZOACHIA DIAMOND ZIMEGHARIMU ZAIDI YA MILIONI 200 ZA KITANZANIA



Diamond Platnum amedondosha video kwa mara moja zote zikiwa zimetengenezwa na ku recodiwa nje ya Tanzania. tarehe 7/7 ni siku ambayo alizaliwa mama yake mzazi Diamond na ili kusherehekea siku hii ya kumbukumbuku nzuri kwake na familia yake, Diamond ameamua kuachia video hizo. 
Video ya mdogo mdogo imetegenezwa South Africa, na imemgharimu dola 40,000  ambayo ni sawa na sh milioni 67,200,000. video imefanyika chini ya Director Godfather.  video ya wimbo wake na Iyanya "Mdogo mdogo" iliyotengenezwa na kurekodiwa London imemgharimu pia dola 40,000  nakutengeneza jumla ya shilingi milioni 134,400,000.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top