Jumamosi, 22 Februari 2014

Angalia Picha za Unyama unaotendeka Afrika ya Kati huku Ghasia za kidini zaongezeka - See more at: http://mwanawamakonda.blogspot.com/2014/02/angalia-picha-za-unyama-unaotendeka.html#sthash.871C2oWx.M9lK9MXv.dpuf

Wakati unyanyasaji huo ukitendeka,Katika taarifa ya Jumatano(Februari 19,2014) kamishna  anayehusika na maswala ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Navi Pillay alisema ukiukwaji mwingi wa haki unaendelezwa na kundi la wanamgambo wanaojiita anti-balaka ambao amesema kwamba wanalenga kwa maksudi waislam katika mji mkuu Bangui-

Wakati unyanyasaji huo ukitendeka,Katika taarifa ya Jumatano(Februari 19,2014) kamishna  anayehusika na maswala ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Navi Pillay alisema ukiukwaji mwingi wa haki unaendelezwa na kundi la wanamgambo wanaojiita anti-balaka ambao amesema kwamba wanalenga kwa maksudi waislam katika mji mkuu Bangui. - See more at: http://mwanawamakonda.blogspot.com/2014/02/angalia-picha-za-unyama-unaotendeka.html#sthash.871C2oWx.M9lK9MXv.dpuf
 wanadamu wale nini tunafanya kama kweli sote haya nimapito tujiulize wapi tunakwenda kwa kila mtu na nafasi aliyo nayo..

Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu waondoa maiti kwenye kaburi la pamoja mjini Bangui.

Afisa wa juu wa Umoja wa Mataifa anasema ghasia za kidini zinazoendelea katika Jamhuri ya Afrika ya kati zinaonekana kuwa mbaya zaidi.

Katika taarifa ya Jumatano(Februari 19,2014) kamishna  anayehusika na maswala ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Navi Pillay alisema ukiukwaji mwingi wa haki unaendelezwa na kundi la wanamgambo wanaojiita anti-balaka ambao amesema kwamba wanalenga kwa maksudi waislam katika mji mkuu Bangui.

Pillay amesema wanamgambo hao wanauwa na kuwabaka waislam na kuharibu nyumba zao na wana nia ya wazi ya kuwazuia waislam kurudi kwenye makazi yao.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top