Jumapili, 22 Desemba 2013

 Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kasikazin Bw. Zitto Zubery Kabwe amesema kuwa yeyey hachuki na kiongozi yoyote katika chama chao na ataendelea kuwajibi ipasavyo kwa kuzingatia sheria na taratibu za kwa kujali masilahi ya wananchi wa tanzania kama ilivyo kawaida yake.
 Bw. Zitto amesema hayo wakiti akihutubia mamia ya watu katika mkutano wa hadahara katika kiwanja cha Kiganomo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.
Aidha Bw. zito ammeleza kuwa hata rudi nyuma atasimamia haki mpka mwisho wa maisha kwa nafasi yoyoatayo kuwa nayo katika jamii.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top