Jumapili, 22 Desemba 2013

CHADEMA yavuna mamia ya wanachama Nzega, Dr. Slaa aitikisa Nzega

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk, akimkabidhi kadi ya uawanachama wa chama hicho mmoja wa wakazi wa kijiji cha Ngw'aluzwilo, baada ya mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa chama hDk. Willibrod Slaa jana.

 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akikumbatiana na mbunge wa zamani wa jimbo la Bukene mkoani Tabora, Steven Kahumba, baada ya mkutano wa hadhra wa kujenga chama uliofanyika katika mji wa Bukene juzi.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Setendi jana, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kujenga chama.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top