DUH MKUTANO WA CHADEMA LEO HII JUMAPILI TAREHE 08 DEC 2013 HAPA WILAYANI
KASULU WAGUBIKWA NA MAJANGA, MVUA KUBWA KABLA YA MKUTANO,MABANGO KIBAO
YAKIMTAKA MH ZITTO AWEPO MKUTANONI HAPO,MAWE KURUSHWA HUKU JESHI LA
POLISI KUJITAHIDI KUDHIBITI VURUGU IKWEMO WANANCHI KUZOMEA WAKATI MH
WILBROD SLAA ALIPOKUWA AKIJARIBU KUHUTUBU HALI ILYOPELEKEA JUKWAA KUWA
NI SEHEMU YA MIJADALA YA HAPA NA PALE KATI YA MH SLAA NA MRATIBU WA
ZIARA HIYO.
LAKINI PIA TUMESHUHUDIA ULIPUAJI WA MABOMU YA MACHOZI
KATIKA KUSAMBAZA WANANCHI WALIOKUWA NA HAMU KUBWA YA KUSOGEA JUKWAANI
BAADA YA VIPAZA SAUTI KUSHINDWA KUKIDHI MAHITAJI YA USIKIVU BAADA YA
VIFAA VYA MATANGAZO KUPATA HITILAFU ZA KIUFUNDI KUTOKANA NA VYOMBO
KUATHIRIWA NA MAJI YA MVUA.
JITIHADA ZA JESHI LA POLISI ZILIZAA
MATUNDA NA KUFANIKISHA KUWAONDOA VIONGOZI HAWA WA CHADEMA SALAMA
SALIMINI KUTOKA KATIKA UWANJA HUO WA MKUTANO JAPO BILA KUAGANA. WAKAZI
WA MAENEO JIRANI NA UWANJA HUO WA MKUTANO WA LEO WALIJIKUTA WAKILIA
PASIPO KUPIGWA NA HUKU WENGINE KAMASI ZIKIWATOKA NA MACHOZI MFULULIZO
WASIJUE KILICHOJIRI NA KUTOJUA DAWA GANI WATUMIE MAANA MOSHI ULE
UNAOWASHA SANA NI MGENI KWAO. HAPA NI BAADHI TU YA PICHA ZA MATUKIO.
NA HIVY NDIVY ILIVYO KUWA WAJAMANI TAIFA LETU TUNALIPELEKA WAPI WATANZANIA WENYE SIASA SAFI AMANI NA UTULIVU .
TUKIWA BAADO SIKU MJA TUAZIMISHE MIAKA 52 YA UHURU WA TANGAYIKA YALITOKEA HAYO MKOANI KIGOMA WILA YA KASULU IN NCHINI TANZAINA.
Home
>
Untagged
0 maoni:
Chapisha Maoni