Drogba na Eboue wangelipa faini kisa hii ya Mandela?

mikono ya kuadhibiwa kwa kitendo chao cha kuvaa na kuonyesha bila kibali maalum, nguo zenye maandishi ya kumuenzi Mzee Nelson Mandela.
Shirikisho la soka la Uturuki limeamua kuwasamehe wakali hawa ambaoo walikua waadhibiwe kwa kulipa faini kutokana na hicho kitendo walichokifanya baada ya game ya Ijumaa ya Galatasaray ambao walimuenzi Mandela kwa kuweka picha yake nje ya uwanja na kuandika Your legacy is in our hearts’.
Hata hivyo pamoja na hayo, Didier alionekana kama hajali ambacho kingetokea kwa kusema angefanya kitendo kama hicho tena na tena kumuenzi Mzee Madiba.
Mtangazaji wa CNN Piers Morgan tayari aliandika kuwa tayari kulipa faini ambayo angetozwa Didier Drogba kwa hiki kitendo.
0 maoni:
Chapisha Maoni