Jumatano, 6 Novemba 2013

VIJANA HAWA WALIKAMATWA NA JESHI LA DRC KATIKA MAPIGANO HUKO RUTSHURU

Waasi wa M23 wamejiondoa kwenyi milima ya Runyonyi na Chanzo baada ya kupoteza uwezo wa kulikabili jeshi la DRC tangu  jumatatu walipoelekezewa mashambulizi makali, na hivyo kuamua kujisalimisha.
Baadhi ya waasi hao wa M23 hawajulikani wapi walipokimbilia hadi sasa ila hawako tena kwenye ardhi ya Congo DRC tangu usiku wa Jumanne.

VIJANA HAWA WALIKAMATWA NA JESHI LA DRC KATIKA MAPIGANO HUKO RUTSHURU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top