TIMU YA KASULU UNITED KUTOKA MKOA KIGOMA TANZANIA IKIWA KATIKA MECHI ZA MAANDALIZI YA KUCHEZA LIGI YA MKOA 
BAADHI YA WACHEZJI WA KIKOSI CHA KWANZA KATIKA MCHEZO HUO ULIPIGWA KATIKA DIMBA LA CHUO CHA WAALIMU CHA KASULU MJINI NDANI YA MKOA WA KIGOMA NCHIN TANZANIA.
KWA MUJIBU WA TIMU MENEJA WA KLABU HIYO BW. SELEMANI KAMBI AMEELZA KUWA TIMU HIYO KWA SASA IKVIZURI NA MAANDALIZI YAKO SAFI NA KWA SASA WANAITIMUSHA USAJILI WA WACHEZAJI WAGENI KUTOKA NJE YA NCHI .
0 maoni:
Chapisha Maoni