Kwa mujibu wa kocha wa klabu hiyo Bw Bonifasi Muhini Ameeleza kuwa timu kwa sasa inafanya mazoezi katikiam kiwanja cha umoja wilayani kasulu mkoani humo kwaniamba ya lkujifu na kuwajengea uzoefu wachezaji chipkizi kwani ndeo tegemeo laki katika timu hiyo.
Ksulu united ambayo mwaka juzi ilicheza ligi ngazi ya kanda na ilikuwa kundi mmoaj na Cost Union Ya Tanga Amabayo inafanya vizuri kwa sasa katika ligi kuu tanzania bara .
Aidha Bw. Muhini amesema kuwa kwa sasa ndota za timu hiyo nikucheza ligi kuu Tanzania bara kwani timu hiyo imetowa wachezaji wengi kwenda kucheza timu zingine hapa nchini na nje ya nch.
Home
>
Untagged
0 maoni:
Chapisha Maoni