Refa wa Fifa kuchezesha Simba, Yanga
MWAMUZI Israel Nkongo wa Dar es Salaam amepangwa
kuchezesha mechi ya Simba na Yanga itakayofanyika katika Uwanja wa Taifa,
Oktoba 20.
Nkongo, ambaye ni mwamuzi mwenye beji ya Fifa, alipigwa
na wachezaji wa Yanga wakiongozwa na Stephano Mwasyika na Nadir Haroub
‘Cannavaro’, katika mechi ambayo Azam walishinda 3-1 wakati timu hizo
zilipokutana kwenye Uwanja
0 maoni:
Chapisha Maoni