Jumamosi, 19 Oktoba 2013

MARSH ALIKOTOKA

kulia silvester marsh kocha msaidizi wa taifa stars katikati abbuu nyaligo mwisho kipa nassibu angalia kwanyuma jinsi wanaume wanavyo jifua kwa kubeba mawe ni joseph magoti na hayati faustin kajima
marsh katikati akiwa na kim na juma k

ni timu ya mkoa wa mara miaka ya 80 ikijianda na safari ya taifa cup arusha wachezaji wakijitolea mazoezini karume stadium kuanzia kushoto ni makumbi,hayati beki mkali aloyce goma,kabla ya golikipa jina sikulipapa nakipa ni nassibu,said rajabu,marehemu faustin kajima,abbuu nyaligo,joseph magoti,haji kimaro mussa msangi,mussa salum wa nyuma ya goli na mwisho kulia ni silvester marsh kacha wa taifa stars.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: MARSH ALIKOTOKA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top