Jumapili, 10 Aprili 2016

WAZIRI NAPE AONDOKA NAZO MWENYEWE TATU ZAKE MFUKONI

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye akionyesha vidole vitatu baada ya kuingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati wa mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji, Yanga na Ahly uliomalizika kwa sare ya 1-1
Nape akifurahia na Makamu wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' (kulia), Msemaji wa Yanga, Jerry Muro na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ayoub Nyenzi
Nape akiwa na wadau mbalimbali wa soka leo Uwanja wa Taifa
Waziri Nape akitembea kwa madaha jukwaa kuu baada ya kuwasili Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 maoni:

Chapisha Maoni

Item Reviewed: WAZIRI NAPE AONDOKA NAZO MWENYEWE TATU ZAKE MFUKONI Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown