Nahodha wa zamani wa Nigeria 'Super Eagles', Nwankwo Kanu (kulia) aliyewika klabu za Ajax ya Uholanzi na Arsenal ya England, akikata utepe wakati wa uzinduzi wa duka la Kampuni ya StarTimes jengo la Mkuki Mall, barabara ya Nyerere, Dar es Salaam mchana wa leo. Kanu atakuwa nchini kwa ziara ya siku tano. Kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa StarTimes Tanzania, Lanfang Liao
Alhamisi, 7 Aprili 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni